Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Sunday, October 6, 2013

ANGALIA WAJANJA WA MJI WALIVYO MLIZA JAFFARAI



Katika ukurasa wake wa IInstagram msanii anayewakilisha kundi la WATEULE wengi tunamjua kwa jina la Jaffarai usiku wa kuamkia leo wezi walijaribu kutaka kumuibia vifaa vya gari lake lakini wakagonga mwamba na kukimbiza. Angalia status aliyoiandika dakika chache zilizopita

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages