Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Thursday, October 10, 2013

HIZI NI TWEET ZA MASHABIKI WA TUSKER PROJECT FAME ZIKITAKA JUDGE ZAHIR ZORRO ATOKE NA ARUDISHWE HERMES

Muimbaji mkongwe wa muziki Tanzania, Zahir Ali Zorro ambaye Jumapili iliyopita aliungana na Ian Mbugua wa Kenya na muimbaji Juliana Kanyomozi wa Uganda kama majaji wa Tusker Project Fame, msimu wa 6, amesema hayupo tena kwenye shindano hilo.

Zahir alitoa taarifa hiyo kwenye Twitter, kumjibu shabiki aliyemwambia kuhusu shindano hilo.
Zahir Zorro ambaye ni baba mzazi wa wanamuziki Banana na Maunda Zorro, alijikuta akikosolewa na mfululizo wa tweets zilizokuwa na hashtag, #JudgeZorro kuhusiana na uwezo wake wa kujudge washiriki hao.

Hata hivyo si wote waliomdhihaki:

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages