DIAMOND AVUTA MKOKO WA MILLIONI 60/=.report sponsored by:Is life style.com

Staa wa muziki wa kizazi kipya  Bongo, Naseeb Abdul
‘Diamond  Platinumz’ amevuta mkoko wa Kijanja 
wenye thamani ya ‘mkwanja wa Kibongo Milioni  60 keshi.

Akizungumza   muda mfupi  baada ya
 kupokea  ‘dinga’ hiyo aina ya Land Cruiser
 Prado TX  kutoka kwa wakala aliyekuwa akishughulikiwa
  mpango mzima  wa  kuingia kwake  hapa  Bongo, Diamond 
alifunguka kuwa alikuwa na mpango wa kuvuta  mkoko ‘dizaini’
hiyo kitambo lakini  kuna mambo kadhaa yakawa yanakwamisha
.report sponsored by:Is life style.com

Comments