Si unafahamu kwamba Dogo Janja
alirudi kwao Arusha baada ya kujiondoa TIP TOP lakini akarudishwa Dar na
kundi la WATANASHATI ambalo ndio yuko nalo sasa hivi?
Sasa stori ni kwamba Baada ya meneja wake wa sasa wa WATANASHATI kusema kwamba yuko tayari kumuachia Dogo Janja kuchukuliwa na mtu yeyote ambae ataweza kumuendeleza vizuri kisanii na kimasomo hata TIP TOP wenyewe kama wakijirekebisha, Janja ameamua kutoa maneno matano kuhusu kurudi Tip Top kama wakijitokeza kwa hiyo ofa.
Amesema,
“Mimi kama mimi siko tayari”
Is life style.com
Comments
Post a Comment