Mwili
wa Alli Zolla aliyedaiwa kuuwa na polisi kwa kupigwa risasi kichwani
wakati wa vurugu zilizotokea leo asubuhi katika stendi ya mabasi Msamvu
ukiwa hospitali ya mkoa wa Morogoro.
Kijana Frank Valimba akionyesha majeraha aliyoyapata tumboni kutokana na vurugu hizo.
Akizungumza kwenye mkutano uliofanyika jioni hii katika Viwanya vya Shule ya Msingi, Kiwanja cha Ndege, Mwanasheria wa chama hicho, Tundu Lissu aliueleza umati mkubwa wa watu ulihudhuria mkutano huo, kwamba mchakato wa kulishitaki jeshi la polisi la mkoani hapa kuhusiana na mauaji hayo umeshakamilika na kwamba wananchi walioshuhudia mauaji hayo amewaomba kutoa ushirikiano kwenye kesi.
Comments
Post a Comment