SHARO MILIONEA AVUTA MKOKO WA MILIONI 15



MWANAMUZIKI ambaye pia ni mchekeshaji Bongo, Hussein Mkiety ‘Sharo Milionea’ amevuta mkoko aina ya OPA wenye namba za usajili T879 CAR kwa kitita cha shilingi milioni 15.

Comments