Wachezaji wa Yanga wakiwa nje ya hoteli ya La Pallais jijini Kigali.
Wachezaji hao wakiendelea na mazoezi jijini Kigali.
Mazoezi yakiwa yamepamba moto.
TIMU ya Yanga ya jijini Dar es Salaam, imeendelea na mazoezi katika jiji la Kigali nchini Rwanda ilipokwenda kwa ziara yake.
Comments
Post a Comment