Ni moja kati ya wasanii kiukweli wanafanya vizuri sana katka game la
muziki pande za state huyu si mwingine anajulikana kwa jina la Big Sean
msanii huyu on december ataachia rasmi Album yake ambayo ameipa jina la
"Half of Fame".Kwa hiyo wale mashabiki wa Big sean sasa inabidi dzain
mjipangee kwa ujio wa album ya Big sean.
Comments
Post a Comment