Dmx ni moja kati ya wasanii ambao kiukweli wana hits na ngoma kali pande
za state hata pia huku bongo land.Kupitia katika vyombo vya habari
viliweza kufumtia waya mtu mzima Dmx afunguke kuhusiana na diss ambayo
kiukweli ime headline sasa katika mitandao yetu.Dmx aliweza kufunguka na
kukubali kwamba ndiyo diss ipo kwani yeye alipata diss hiyo baada ya
kuona katika Youtube.com msanii huyo akipiga freestyle sasa dzain zile
lyrics bhana zinamuhusu mtu mzima Dmx.Sasa yeye Dmx alidiliki na kusema
kwamba Fredro starr kwanza ni mdogo kwangu katika upande wa muziki kwa
hiyo ajipange, pili ni fupi kwahiyo level hizi za kwangu asiguse
kabisa.hayo ndiyo maneno ya Dmx alifunguka na kusema hivyo.
Comments
Post a Comment