Jay z kufungua club na akasema inamaana sana kwake ni muhimu kwa sehemu aliyoko, usiku wa Ijumaa 28/9/2012 Jay z alienda Brooklyn New York Barclays Centers kwa ajili ya kufungua club hiyo ya 40/40 club iliyopo ndani ya stadium. Wakati wa uzinduzi huo atakuwepo Rihanna, J.cole, Lyor Cohen na watu wengine kibao. Hov alielezea jinsi stadium na club hiyo zina umuhimu kwa New York. Jay anategemewa kupiga bonge la show pia.

Comments
Post a Comment