MARIA CAREY NA R.KELLY WAFANYA COLLABO CHICAGO


 Tunafahamu kwamba Maria carey yupo chicago kwasababu ya audition ya American Idol.Sasa basi habari nzuri ni kwamba msanii huyu ameamua kuingia studio leo inayofahamika kwa jina la Chi town na kufanya collabo na msanii anaye hits na ngoma kali pande za American hata hapa bongo huyu si mwingine ni R.kelly na ngoma ambayo waliyokuwa waki record studio hapo  Maria Carey ameipa jina la “total classic.”Kwa hiyo wale mashabiki wa Maria Carey wa  stay read kwa kupokea pini kali kutoka kwa wasanii hawa.

Comments