Tunakumbuka kwamba Mh.Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu ambaye ni mbunge wa
mbeya mjini siku ya jumatano alifanikiwa kupata mtoto wa kike na kuamua
kumpa jina la
Sasha Desderia J. Mbilinyi.Sasa basi picha hii ndiyo muonekano wa mtoto wake toka azaliwe siku ya jumatano iliyopita.
Comments
Post a Comment