NU PHOTO KIM KARDASHIAN AKIWA NA CAT WAKE MPYA MERCY


Kim Kardashian ambaye ni girlfriend wa mtu mzima Kanye west hivi karibuni alionekana maeneo ya miami akiwa amebeba paka wake mpya ambaye amempa jina la Mercy.Sasa jina ambalo amepewa cat huyu ni kwamba Kanye west ndiye aliyempa jina hilo la Mercy.

Comments