Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiuonesha njia za reli katika ramani ya
Tanzania ujumbe toka kampuni ya Mwambani Port and Railway Corridor
Company (MWAPORC) uliomtembelea leo Septemba 29, 2012 Ikulu jijini Dar
es salaam kumweleza nia yao ya kutaka kuwekeza katika sekta ya reli.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na ujumbe toka kampuni ya Mwambani Port
and Railway Corridor Company (MWAPORC) uliomtembelea leo Septemba 29,
2012 Ikulu jijini Dar es salaam kumweleza nia yao ya kutaka kuwekeza
katika sekta ya reli.
PICHA NA IKULU
Comments
Post a Comment