Sasa kabla ya Chris Brown kwenda mahakamani msanii ambaye kiukweli yeye ndiyo amefanya mpaka haya kutokea na yeye ndiyo chanzo ya haya yote namzungumzia msanii anayefahamika kwa jina la Rihanna.Msanii huyu alimtumia message Chris brown kama ya kumfariji katika wall yake ya twitter ebu angalia hapa chini jinsi walivyokuwa wana tweet mwanzo mwisho kipindi yupo home Chris brown dzain ndiyo alikuwa anajiandaa kwenda kusikiliza kesi yake mahakamani halafu dzain sasa mtoto Rihanna ana m tweet.
Kama kweli wewe ni mfuatiliaji mzuri sana wa story zinazo headline hapa na pale katika kipindi cha nyuma basi hii ni mojawapo.Unakumbuka mwaka 2009 mtu mzima Brizzy alimnasa au alimpiga kibao Rihanna baada ya hapo mahakama ikachukua sheria na kumpa adhabu ya kuifanyia kazi jamii kwa miezi sita.Sasa habari ni kwamba siku za hivi karibuni Chris brown alipandishwa tena kizimbani kwa kutoa nyaraka za kuwa amemaliza adhabu aliyopewa ya kuihudumia jamii kwa kipindi cha miezi sita.
Sasa kabla ya Chris Brown kwenda mahakamani msanii ambaye kiukweli yeye ndiyo amefanya mpaka haya kutokea na yeye ndiyo chanzo ya haya yote namzungumzia msanii anayefahamika kwa jina la Rihanna.Msanii huyu alimtumia message Chris brown kama ya kumfariji katika wall yake ya twitter ebu angalia hapa chini jinsi walivyokuwa wana tweet mwanzo mwisho kipindi yupo home Chris brown dzain ndiyo alikuwa anajiandaa kwenda kusikiliza kesi yake mahakamani halafu dzain sasa mtoto Rihanna ana m tweet.

Comments
Post a Comment