Naweza kusema kwamba ukizungumzia Team nzima ya Maybac music double MMG basi Rick Ross lazima awepo katika Team hiyo ambayo imehusisha vinjwa vitano kama Stalley,Omarion,Meek milli,pamoja na Rozay Boss.Najua kwa sasa unakuwa na hamu ya kuweza kumfahamu yule ambaye atawasha moto katika stage ya serengeti fiesta mwaka huu.Nakumbuka mwaka jana mtu mzima Ludacris alinukisha mbaya katika ile stage ya Leader club sasa habari nzuri ni kwamba Rozay Boss au Rick Ross in da Fiesta serengeti tarehe 6 mwezi wa 10 sasa hapa ndipo tutaiimba naye hii chorus ya inayosema I’m not a star, somebody lied I got a chopper in the car
I got a chopper in the car
I got a chopper in the car haaaaaaaaaaaaaaa haaaaaaaaaaaaaaaa. yaani baridaaaaahh


Comments
Post a Comment