
Nyota
wa ngoma ya mawazo ambaye pia ni bosi wa lebo ya Sharobaro Record, ya
jijini Dar, Bob Junior amesema sasa yuko tayari kusimama kwenye ngoma
moja na mkali kutoka Wasafi Entertainments, Diamond Platinumz.
Akizungumza na teentz.com, mapema leo Bob Junior amesema licha ya
kuwa aliwasiri jana jioni kutoka Oman alikokuwa kwa mapumziko na
amepata bahati ya kuisikiliza ngoma mpya ya Diamond na kuona kuwa ni
kawaida kwani haina kitu kipya ilichofanyiwa
Comments
Post a Comment