Msanii wa
Bongo Movie almaarufu kama
Nisha anayefanya vizuri katika sanaa ya hapa
Tzee mpaka kupelekea mashabiki wa
Bongo Movies kumkubali
jinsi anavyobeba husika kamili,sasa basi jana baada ya mitandano
mbalimbali kuandika vibaya kuhusiana na picha hizo.Msanii huyu aliweza
kupiga story na mimi na akasema kwamba hizi picha ambazo zimeenea kwenye
mitandao alidai kwamba walikuwa wakifanya shooting ya
movie yao
mpya,lakini sasa chakushangaza yeye anashangaa na kuona mitandao
mbalimbali inaandika habari tofauti kuhusiana na hizo picha.Kwa hiyo
alichokuwa anakiomba kwa wewe shabiki wake ufahamu kwamba walikuwa
wakifanya movie yao mpya, sema katika mazungumzo hayo Nisha akuweza
kutaja jina la movie kwani alisema anataka kufanya suprise kwa mashabiki
wa
Bongo Movie.@info kamili Nishaa.
Comments
Post a Comment