MSANII WA KAOLE, MLOPELO AFARIKI DUNIA


Aliewahi kuwa muigizaji wa movie zakibongo kutoka kikundi cha sanaa cha kaole (mlopelo) afariki dunia mchana wa leo katika hospitali ya Temeka.msiba upo nyumbani kwao Temeke Wailes mtaa wa Boko. Kwa mijibu wa familia marehem Mlopelo atazikwa mapema kesho saa nne asubuhi

Comments