Wakizungumza na mwandishi wa habari hizi, mashuhuda wa tukio hilo walisema dereva wa bodaboda akiwa amepakia abiria wawili kwa mtindo wa 'mshikaki' aligongana uso kwa uso na lori hilo wakati akijaribu kulipita lori jingine katikati ya daraja hilo ambapo dereva wa bodaboda na abiria mmoja walifariki na abiria mwingine kukimbizwa hospitali akiwa katika hali mbaya.

Comments
Post a Comment