PICHA:HAYA SASA!!! WEMA NA CK, DIAMOND NA PENNY

  Zimepita siku chache tu baada ya Diamond ku post picha akiwa amelala na Penny mpaka kupelekea watu wengi kuzungumzia picha hiyo ambayo ilileta utata,sasa nyingine mpya hii hapa kutoka kwa Wema Sepetu akiwa na CK.
                                https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEisQGU6Smj8NqvLur42IY9zXzStTKnA7ptnIP7H1FsR-5w_Ieg-5LYP5R6YGv97Yp38oBqf1UbT8VBy_LwQgSCMtdhSu5YRfbPvr_oG0YEFEINOU-vsJr_wKbZWZtYYDMNO1ystX7mCOIWT/s1600/wema+sepetu..jpgHauwezi kupita mwezi bila kuibuka kitu kitakachomfanya aandikwe tena na tena.
Katika picha iliyowekwa kwenye ukurasa wa Facebook wa msichana aitwaye Skyner Ally kuna picha inayomuonesha Diamond akiwa amelala usingizi wa pono na msichana anayedaiwa kuwa ni mtangazaji wa DTV, Penny Mungilwa aka Vj Penny.
Picha hii inajieleza yenyewe kwa pozi walilolaa kuwa ni wapenzi ama ni one night stand?
Hata hivyo tulipowasiliana na Penny alisema hiyo ni picha iliyopigwa walipokuwa kwenye scene ya movie wanayoigiza pamoja ambayo amesema hana uhakika lini itatoka!
Penny na Diamond ndani ya movie?????...!!? Ngoja tuisubiri hiyo movie

Comments