Amber Rose na mchumba wake Wiz Khalifa sasa ni wazazi wanaojivunia kwa kupata mtoto wao wa kwanza wa kiume.
Sebastian Taylor Thomaz (yes, ikiwa na a z mwisho) amezaliwa siku ya jana alhamis mchana
Mapema
siku hiyo ya jana a proud papa Wiz Khalifa alipost picha akiwa amevaa
posted a picture wearing scrubs na face mask na maelezo yaliyokuwa
yakisema "daddy time." wakati wa baba
mida ya saa nane mchana
akipost, "Happy Birthday Sebastian "The Bash" Taylor Thomaz!!! Everyone
welcome this perfect young man into the world"
mara ya mwisho wawili hao. Amber
na Wiz, walionekana katika tuzo za grammy, wii mbili zilizopita, huku
rose akionekana na tumbo lake kuuuubwa katika tight dress nyeusi
Post Top Ad
Your Ad Spot
Saturday, February 23, 2013
WIZ KHALIFA NA AMBER ROSE WAPATA MTOTO WAKIUME WAMUITA ''SEBASTIAN TAYLOR THOMAZ''
Tags
FASHION#
Share This
About DARVEL LAMAR BLOG
FASHION
Labels:
FASHION
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
Author Details
Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.
No comments:
Post a Comment