Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Saturday, February 23, 2013

HII NDIO OFISI MPYA YA WEMA "ENDLESS FAME FILM"


 Siku chache baada ya msanii wa tasnia ya filamu Bongo, Wema Abrahamu Sepetu kutangaza kuwa anamiliki kampuni mpya ya filamu"Endless Fame Film" leo mchana aliweza kufanya press conference na waandishi mbalimbali huku akitambulisha rasmi kampuni hiyo.
Kwa mujibu wa msanii huyu alisema kwamba kwasasa bado ofisi yake haijaanza kufanya kazi ila inatarajia rasmi kuanza kazi mwezi wa tatu mwaka huu.@Wema alisema....

    Tazama picha za ofisi yake mpya 'Endless Fame Film'











                                                               Wema na Zamaradi
                                                                  Wema na Dotnata
                                                                     Wema na Rich
                                                                        Cloud na JB 

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages