JAY Z KUNUNUA 'RANCH' YA MICHAEL JACKSON KWA MABILIONI



Hii ndio Ranch iliyokuwa mali ya marehemu Michael Jackson ambayo kwa mujibu a tetesi zilizopo hivi sasa, Baba na Mama Blue Ivy - Beyonce na Jay Z wanataka kulinunua kwaajili ya kufanya makazi binafsi pamoja na kuwekeza miradi kadhaa.


Ranch hii maarufu inayofahamika kama Neverland lina ukubwa wa hekta 2500 na lipo nnje kidogo ya Jiji la Los Angeles Marekani na thamani ya dola milioni 100 zaidi ya shilingi bilioni 160 za kitanzania.



Jay Z na Beyonce
Hata hivyo bado hakuna uthibitisho rasmi mpaka sasa kutoka upande wa pili kama kuna mpango wa kuuza 'Neverland'.

Jay Z na Michael Jackson

Comments