Skip to main content
SIMU MPYA ILIYOZINDULIWA, UKICHAJI MARA MOJA INAKAA NA CHAJI KWA SIKU 35.
Kampuni ya Nokia imezindua simu
yake mpya ya mkononi ambayo ukiichaji mara moja tu, unaendelea kuitumia
bila kuichaji kwa siku 35.. ni simu ambayo inatarajiwa kupata soko
kubwa sana kwenye sehemu ambazo kuna tatizo la umeme na pia inaweza
kutumika kama back-up phone.
Simu hii ya Nokia 105
inatarajiwa kuingia sokoni ndani ya wiki chache zijazo ikiwa na mvuto
kama colour screen, ina tochi na inashika Fm Radio na gharama yake ni
ndogo sana pia.
Comments
Post a Comment