Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Thursday, March 21, 2013

HIVI NDIVYO BIFU KATI YA NEY WA MITEGO NA NIKKI MBISHI LILIVYO KUWA BBM


Biff linaloendelea kati ya Rapper Nikki Mbishi na Ney wamitego, linaelekea pabaya hali ambayo imefikia kutukanana kupitia katika status za huduma ya Blackberry (BBM), mida hii kupitia kupitia bbm ya Ney wa mitego ameandika status inayoonekana hapa chini
Sababu hasa ya Ney kupandwa na hasira kiasi hiki bado hakijajulikana kwasababu nimejaribu kumtafuta na simu yake haipatikana. kitakachoendelea utakipata hapa as soon as info zikitufikia

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages