Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Monday, March 18, 2013

LIL WAYNE ATOLEWA ICU



img-lil-wayne-cover_17135846584

Vyanzo vilivyo karibu na Weezy vimeuambia mtandao wa TMZ kuwa kwa sasa Lil Wayne yupo kwenye chumba cha kawaida kwenye hospitali hiyo na hahitaji tena uangalizi wa karibu kama awali baada ya kuoverdos e madawa ya kupunguza maumivu wiki iliyopita.

Lil Wayne amekaa ICU tangu Jumatano ya wiki iliyopita.Kwa sasa Lil Tunechi mwenye miaka 30 anasemekana kutembea mwenyewe lakini akiwa amezungukwa na timu ya mabodyguard. Pia anakula mwenyewe na anaweza kuruhusiwa hospitalini hapo siku chache zijazo

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages