Kajala na mumewe, Faraja Chambo wakisubiri hukumu yao.…
Kajala akipandishwa kizimbani kusomewa hukumu.
Kajala na mumewe, Faraja Chambo wakisubiri hukumu yao.
Akitafakari.
Akitokwa na machozi baada ya kuhukumiwa. Baba Kajala (kushoto) akishauriana jambo na wasanii wa filamu na maswahiba wa mwanaye.
MSANII Kajala Masanja leo
ameachiwa huru baada ya kulipiwa faini ya shilingi milioni 13 na Wema
Sepetu. Kajala alikuwa anakabiliwa na kesi ya kuuza nyumba iliyowekwa
kizuizini na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) baada
ya mumewe, Faraji Agustino kukumbwa na tuhuma za kutakatisha fedha
haramu. Katika kesi hiyo, Kajala alihukumiwa kwenda jela miaka 5 au
kulipa faini ya shilingi milioni 13. Faraji yeye amehukumiwa kwenda jela
miaka mitano au kulipa faini ya shilingi milioni 213.