Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Monday, April 1, 2013

ALICHONDIKA LADY JAY DEE KATIKA TWITTER:CLOUDS FM NI WANAFIKI, WANATAKA WAHONGWE ILI WAPIGE NYIMBO ZA WASANII

Screenshot - 3_30_2013 , 2_49_12 AM

Mwanamziki nguli wa Bongofleva, Lady Jay Dee ameamua kuwapa madongo Clouds FM kupitia Twitter leo kutokana na wimbo wake mpya uliotoka hivi karibuni Joto hasira kutopigwa katika radio hiyo. Jay Dee ameandika kuwa radio ya watu isiyopiga nyimbo za wasanii wa watu ila wasanii wao tu.
>> Angalia tweet za Queen of Bongofleva huyo pichani
Jay Dee pia anaonekana kujizatiti na kujiamini kuonyesha kuwa yupo kwa lolote yeye kama Komandoo Binti Machozi aliandika tena "Kill me if u can. Am on Fire, siogopi ng'oooooo Jipangeni, Ni kweli nimelamba sumu, lakini hainidhulu. Nakunywa maziwa daily, I will survive".

Hata hivyo si Jay Dee pekee kuanza kulaumu kwani wapo wanamuziki wengine wanaolaumu nyimbo zao kutokupigwa hasa Mr II aka Sugu

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages