Watanzania waliokusanyika kuangalia utaratibu wa kusafirisha mwili wa marehemu Albert Mangwea
Millard Ayo akifanya interview na promota Mtanzania ambae alikua tayari na kazi
ya show tatu za ziada ya Ngwea kabla hajafariki, zilipangwa kufanyika siku kadhaa
zijazo.