Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Saturday, May 25, 2013

TASWIRA WAKATI WA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA AU JIJINI ADDIS ABABA, ETHIOPIA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoka katika chumba cha mikutano baada ya kuhudhuria kikao cha 29 cha wakuu wa nchi za NEPAD pembeni ya mkutano wa maadhimisho ya miaka 50 ya AU katika makao makuu ya Umoja huo jijini Addid Ababa, Ethiopia
 Wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika na wageni mashuhuri walioalikwa wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa mkutano wa maadhimisho ya miaka 50 ya AU katika makao makuu ya Umoja huo jijini Addid Ababa, Ethiopia
 Marais wastaafu waliohudhuria maadhimisho ya miaka 50 ya AU katika makao makuu ya Umoja huo jijini Addid Ababa, Ethiopia. Kutoka kushoto ni Dkt Kenneth Kaunda (Zambia), Sam Nujoma (Namibia) na Mzee Festus Mogae (Botswana)
Mama Salma Kikwete na wake wa marais wengine wakiwa katika mkutano wa maadhimisho ya miaka 50 ya AU katika makao makuu ya Umoja huo jijini Addid Ababa, Ethiopia
Wapiga picha toka nchi mbalimbali wakiwa kazini wakati wa mkutano wa maadhimisho ya miaka 50 ya AU katika makao makuu ya Umoja huo jijini Addid Ababa, Ethiopia
Wajumbe, wageni waalikwa, wanahabari na wadau mbalimbali wakijichanganya nje ya ukumbi wa mkutano wakati wa mapumziko
Viongozi wa nchi mbalimbali waliohudhuria 

Viongozi wa nchi mbalimbali waliohudhuria 
Viongozi wa nchi mbalimbali waliohudhuria 

Mandhari za nje na ndani ya jengo la Makao Makuu ya Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa, Ethiopia

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Mhe Ban Ki Moon akiwa meza kuu pamoja na Rais wa AU Mama Nkosazana Dlamini Zuma na Waziri Mkuu wa Ethiopia Mhe. Hailemariam Desalegn na viongozi wengine wa umoja huo
Sehemu ya ukumbi wa mikutano kwa ndani
Viongozi wa nchi mbalimbali waliohudhuria (PICHA NA IKULU)

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages