Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Thursday, June 6, 2013

BEYONCE AKANUSHA RASMI TETESI ZA YEYE KUWA MJAMZITO

p>Baada ya kuwepo tetesi kuwa mke wa Jay-Z Beyonce ana ujauzito wa mtoto wa pili na kukwepa kuthibitisha ama kukana uvumi huo kila alipokuwa akiulizwa, hatimaye taarifa rasmi kuhusiana na tetesi hizo zimetolewa na team ya Beyonce.
Q bey
Jana (June 5) mtangazaji wa kipindi cha asubuhi “Today Morning” kupitia CBS aitwaye Gayle King ambaye pia ni rafiki wa familia ya Carter, amesema alizungumza na team ya Beyonce Jumanne (June 4) ambao wamethibitisha kuwa Queen Bey hana ujauzito kwa sasa na kusema “ni kweli yeye na Jay-Z wanahitaji sana kupata mtoto wa pili wakati muafaka utakapofika, na wakati ukifika watatoa taarifa”.
Mtazame Gayle alipokuwa anatoa taarifa hizo kupitia kipindi cha “Today Morning”



Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages