NEW AUDIO TRACK:MENINAH - SHAGHALA BHAGHALA.

Ni ngoma mpya ya aliyekuwa mshiriki wa EBSS Meninah Atick baada ya kufanya vizuri na Dream tonight na sasa ameachia ngoma inayo kwenda kwa jina “SHAGHALA BHAGHALA” Producer akiwa ni NASH DESIGNER …Isikilize hapa