Kwa mujibu wa taarifa kutoka Vatican zaidi ya watu million tatu walijitokeza katika misa ya kukamilisha ziara ya kiongozi huyo mkubwa wa kanisa Katoliki duniani. Misa hiyo iliyohudhuriwa na kila aina ya watu ilifanyika kwenye ufukwe wa Copacabana katika mji mkuu wa Brazil Rio de Janeiro.
Pamoja na hali mbaya ya hewa iliyotanguliwa na mvua kunyesha masaa machache kabla ya misa hiyo haikuwazuia watu kukusanyika kwa wingi katika ufukwe huo.
Tazama picha
SOURCE: DAILY MAIL