Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Saturday, August 17, 2013

DARVEL TV: FEZA AKIHOJIA NA TIMES FM.

Feza Kessy alihojiwa jana kwenye kipindi cha Sunrise cha Times FM ambapo pamoja na mambo mengine alizungumza kuhusu uhusiano wake na Oneal baada ya kutoka kwenye jumba hilo, anachotarajia kufanya na mambo mengine. Mtazame kwenye video hii.



Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages