Inaonekana Diamond Platinum yoko tayari kuidondosha single yake mpya
“Number One”, yenye video ambayo imefanyika South Africa na kusemekana
imetengenezwa kwa gharama ya zaidi ya sh millioni 50.
kupitia account yake ya instagram Diamond amekuwa akipost picha
zilizoambatana na maneno yenye kuuliza maswali na kuishia na hushtag ya
neno “Number One”
“|Anaye shukuru na kuridhika kwa kidogo akipatacho….basi huyo ndio My#Number One”
Soon tutegemee single hiyo mpya na utakuwa wakwanza kuisikiliza na kuitizama kupitia hapa