Hitmaker huyo wa Azonto na Antenna anatarajia kufanya show hiyo kwenye viwanja vya Ustawi wa Jamii ambapo atasindikizwa na wasanii wa nyumbani wakiwemo Vannesa Mdee, Mabeste, Mrap, Deddy, Gosby, Wakazi, H Baba, Banana Zoro, Wakali Dancers, Lulu (BongoMovie), Aika na Nah Reel na wengine.
Leo msanii huyo ametweet:
TANZANIA… I'll be there on the 7TH SEPTEMBER in the main city Dar Es! We ready! AZONTO Tings…ANTENNA Buzz #TINA TZ let's go!
— ANTENNA OUT NOW (@FuseODG) August 28, 2013