Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Thursday, August 1, 2013

HIVI NDIVYO NICK MINAJ ALIVYOJIBU MAOMBI YA DJ KHALED


Baada ya kuwa kimya kufuatia maombi ya mtu mzima Dj Khaled kwa mwanadada Nick Minaj kutaka kumuoa na kuwa mke wake, kuliwafanya wadau wapate wasi wasi kidogo kufuatia ukimya huo, wengine walidhani Nick atakuwa amekasirishwa na kitendo hicho, so anajipanga namna ya kujibu...pia wapo waliodhani Nick kachomoa moja kwa moja na wapo waliotabiri kuwa Nick atakubali.
1016378_10151482608680404_223142537_n
Ukimwa huo na utabiri huo umemalizika leo baada ya mwanadada huyo kuamua kusema yake kuhusu ishu hiyo kupitia kipindi cha Hot 97 kinachorushwa na Radio maarufu nchini Marekani, nakusema kuwa 

"I was shocked just like the rest of the world and I was cracking up laughing with the rest of the world ’cause Khaled is a master at what he does…Khaled is my brother and Khaled was not serious with that damn proposal, ya’ll. Please let it go. He was kidding. He’s not attracted to me, he doesn’t like me. We’re brother and sister.”
Alipoulizwa sasa unaichukuliaje watu kuichukulia vingine ishu hiyo, alijibu:
“Nobody in my real life took it seriously. Everybody just hit me like, ‘LOL. Yo, Khaled is crazy.’”
There was a rumor that Nicki Minaj filed a restraining order against Khaled, but obviously, that’s not true.
Kwa mujibu wa majibu ya mwanadada huyo, hii ishu sio ishu ya serious...labda wanataka'kick kwa public na kuipromot ngoma mpya ya Dj Khaled inayoitwa "I wanna Be" aliyomshirikisha Nick Minaj na Rick Ross.

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages