Mrembo Yvonne aliyempasua kwa chupa Aunt Ezekiel usiku wa kuamkia Jumatatu, nje ya Ukumbi wa Billicanas.
Mkono wa kushoto wa Aunt Ezekiel Grayson ‘Gwantwa’ uliopasuliwa na Yvonne kwa chupa.
Pichani juu ni mrembo aliyempasua mwigizaji wa sinema za Bongo, Aunt
Ezekiel Grayson ‘Gwantwa’ ajulikanaye kwa jina la Yvonne. Tukio hilo
lilitokea usiku wa kuamkia Jumatatu, nje ya Ukumbi wa Billicanas, ambapo
Yvonne alimpiga Aunt kwa chupa tupu ya bia na kumpasua mkono wa
kushoto. Vurugu kubwa ilizuka baada ya tukio hilo na Aunt alikimbizwa
hospitali ya Aga Khan huku Yvonne akapelekwa msobemsobe Kituo cha Polisi
cha Oysterbay, Dar ambapo anashikiliwa.