Wasanii lukuki wa muziki wa kizazi kipya usiku wa jana wamewapatia burudani wakazi wa Tabora kwenye show ya Fiesta iliyofanyika kwenye uwanja wa Ally Hassan Mwinyi. Miongoni mwa mambo yaliyozalisha shangwe la kufa mtu ni pamoja na Amini kumbusu mdomoni mpenzi wake wa zamani Linah waliyependa naye kwenye stage. Tazama picha za namna mambo yalivyokwenda.
Serengesti fiesta 2013 Tabora ilianza saa 12 jioni kutafuta washindi wa shindano la Serengeti super nyota na baada ya hapo burudani zilianza kudondoka
Amini na Linah wakikumbushiana kama zamani
Amini na Linah
Amini
B12 akifanya mambo ndani ya Serengeti Fiesta 2013 Tabora
Baba Levo
Peter Msechu
Makomando wakifanya yao
Joh Makini
Juma Nature akiwa na Stopper
Linah akiimba
Nick wa Pili
Msechu
Abdul Kiba
Wakazi wa Tabora wakifeel joto la Fiesta
Young Killa aka Msodoki akiwapa Dear Gambe
Stamina
Shetta
Post Top Ad
Your Ad Spot
Saturday, August 24, 2013
Home
Unlabelled
SERENGETI FIESTA 2013 TABORA; AMINI AMBUSU LINAH JUKWANI. TAZAMA BURUDANI NYINGINE.
SERENGETI FIESTA 2013 TABORA; AMINI AMBUSU LINAH JUKWANI. TAZAMA BURUDANI NYINGINE.
Post Top Ad
Your Ad Spot
Author Details
Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.