Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Monday, August 5, 2013

SHAA AFIWA NA MAMA YAKE MZAZI

Muimbaji wa ‘Lava Lava’ Sarah Kaisi aka Shaa amefiwa na mama yake mzazi. Kwa muda mrefu Shaa alikuwa akimuuguza mama yake. Msiba upo nyumbani kwao Mikocheni, Dar es Salaam.
1069222_10151751769358570_1122969934_n
Shaa anakuwa msanii mwingine aliyefiwa na mama yake mwaka huu baada ya Barnaba, Z-Anto na Profesa Jay. Bongo5 inampa pole Shaa kwa msiba huo na Mungu ampe nguvu zaidi kwenye kipindi hiki kigumu.

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages