Sounds like, Feza Kessy ameona isiwe tabu baada ya kuibuka watu wanaosema amekaa sana Gabs aka Gaborone nchini Botswana. Ameamua kurejea nyumbani.
Ni ngumu kama kufahamu kama amerudi kimoja ama ndio kaja kuchukua kabisa mizigo yake na kwenda kuishi na prince charming wake Oneal, lakini tunachojua ni kwamba Feza hana tena zile nywele nyekundu zilizokuwa kama utambulisho wake kwenye The Chase.
Baada ya tu ya kuona picha ya Feza inayomuonesha akiwa mitaa ya jiji la Dar, mstari huu ukanijiia kichwani, “I am gonna tell you what happened to you, you have a new hair…” Kwa sauti ya Deddy kwenye video ya Amani ya Moyo.
Feza katakata zaidi ama nini? Welcome back girl…
Post Top Ad
Your Ad Spot
Saturday, September 21, 2013
Home
Unlabelled
FEZA KESSY AREJEA BONGO BAADA YA KUKAA KIPINDI KIREFU NCHINI BOTSWANA
FEZA KESSY AREJEA BONGO BAADA YA KUKAA KIPINDI KIREFU NCHINI BOTSWANA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
Author Details
Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.
No comments:
Post a Comment