HAWA NDIO WATAKAO CHUANA KATIKA UCHAGUZI WA KUMTAFUTA CHANCELLOR WA NCHINI UJERUMANI HAPO KESHO Posted by DARVEL LAMAR BLOG on September 21, 2013 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Wasifu wa Kansela Angela Merkel Miongoni mwa sifa kuu za Kansela Angela Merkel (CDU) ni kutokuwa kwake mtu wa papara katika kutoa maamuzi hasa katika masuala tete na mara zote hukaa kimya na mwishowe kauli yake itaungwa mkono na walio wengi. Wasifu wa Peer Steinbrück, mpinzani wa Merkel Mgombea wa ukansela wa chama cha SPD, Peer Steinbrück, anatambulikana kuwa ni mtu wa busara, mzungumzaji mzuri na mtaalamu wa fedha, na japokuwa kura za maoni hazimpi matokeo mazuri, yeye anaamini atashinda. Comments
Comments
Post a Comment