Miss Dodoma na a Miss Kanda ya Kati, Happiness Watimanywa jana ameibuka na taji la Redd’s Miss Tanzania 2013 kwenye fainali zilizofanyika kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.

Mshindi wa taji la Redd’s Miss Tanzania 2013,Happiness Watimanywa akipunga mkono baada ya kutangazwa mshindi. Wengine kutoka kushoto ni mshindi wa pili,Latifa Mohamed na kulia ni mshindi wa tatu,Clara Bayo

Washiriki wote wa Miss Tanzania 2013 wakiwa nyuma ya Happiness kupiga picha ya pamoja

Picha ya pamoja

Happiness akiwa na furaha kama jina lake

Fact: Happiness Watimanywa, aliwahi kuwa msichana pekee kutoka Tanzania aliyeweka historia ya kuongoza nchi zaidi ya 150 za mtandao wa IGCSE katika somo la Uhasibu kwenye mitihani ya kidato cha nne mwaka 2010(Full Shangwe)

Happy ni mzaliwa wa familia ya kawaida ya Mr Louis Roussos ya Morogoro. Wadogo zake Angel na Romeo sasa wanasoma St. Constantine shule iliyomtoa Happy

Happiness akikabidhiwa funguo za gari yake

Happiness akiwa amesimama mbele ya gari alilozawadiwa kama mshindi wa Miss Tanzania 2013

Happiness akiwa amepozi mbele ya camera za waandishi wa habari na akijiandaa kuingia ndani ya gari alilozawadia

Happy ndani ya gari lake

Inawake kweli: Happiness akiliwasha gari lake

Happiness akiwa kwenye picha ya pamoja na familia yake

Warembo walioingia kwenye top 5 ya Miss Tanzania

Top 5

Matokeo yakitangazwa

Happiness akivishwa crown ya Miss Tanzania 2013

Faraja Kotta(kushoto) alikuwa miongoni mwa majaji wa Miss Tanzania 2013

Familia: Happiness Watimanywa amewahi kusoma Laureatte International School ya Dar-es-salaam, ambapo akiwa hapo, alikutana na mwalimu wa michezo Mr Tchalewa Ndeki ambaye alimfungulia mipaka mingi

Happiness Watimanywa akiwa na wazazi wake katika picha ya pamoja

Wazazi wa Miss Tanzania Happiness

Happiness Watimanywa akiwa na Mama ake Mzazi

Warembo waliofanikiwa kuingia tano bora

Hii ni gari aliyokabidhiwa Miss Tanzania 2013

Meza ya Majaji wa Miss Tanzania 2013

Jacqueline Ntuyabaliwe alikuwa mmoja wa majaji wa shindano la Miss Tanzania 2013

Lady Jaydee akitoa burudani

Host wa Miss Tanzania 2013, Bobby akiwa kazini

Msanii wa Uganda, Michael Ross akitumbuiza

Warembo wakifungua show kwa burudani

Warembo wakitoa show

Warembo wakiwa katika Vazi la ufukweni lililobuniwa na Veronika Rukenze

Warembo wa Miss Tanzania wakiwa katika vazi la usiku

Comments
Post a Comment