Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Friday, September 6, 2013

HIVI NDIVYO WAYNE ROONEY ALIVYOUMIA VIBAYA KICHWANI, SOMAHAPA HABARI KAMILI.



Baada ya kuumia vibaya kichwani Manager wa Man Untd amesema Rooney hatocheza kwa wiki tatu sababu ya jeraha lake kichwani. Picha hii ilionekana kwenye ukurasa wa facebook wa Rooney akijaribu kutoa maelezo kuhusu tuhuma za kutotaka kuichezea timu ya taifa ya Uingereza.

Rooney ameshonwa nyuzi 12 kwenye jeraha hilo na mpaka sasa imethibitishwa kuwa hatacheza kwenye mechi ya Uingereza na Moldova.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages