Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Friday, September 13, 2013

HUYU NDIYE MTOTO WA H BABA NA FLORA MVUNGI ''TANZANITE''

Ndoa ya msanii wa bongo fleva Hamis Ramadhan aka H.Baba na mkewe Flora Mvungi imefanikiwa kupata mtoto wa kike waliyempa jina la ‘TANZANITE’.
mtoto wa H baba
Tanzanite
H.Baba ameiambia Bongo5 kuwa mkewe Flora amejifungua salama jana (September 11) majira ya saa 12.30 jioni katika hospitali ya Marie Stopes iliyopo Mwenge.
mtoto wa H.Baba-2
“Najiskia furaha sana kwasababu hii ndiyo mara ya kwanza naitwa baba, namshkuru sana Mwenyezi Mungu kwa kunipa mtoto wa Kike ambaye tumemuita Tanzanite Hamis, nawashukuru wote pia ambao wametuombea dua” Alisema H.Baba
Bongo 5 inawapa hongera H-Baba na Flora kwa kupata mtoto.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages