Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Thursday, September 12, 2013

JOKATE AJIBU TUHUMA ZA YEYE KUWA NA UHUSIANO NA LUCCI

Baada ya kutoka kwa kazi mpya ya Lucci na Jokate' Kaka Na Dada' Pamekuwa na maneno mengi mtaani kuwa wanamahusiano ya zaidi ya urafiki na kikazi. Well ukitazama video yao ni rahisi kuwa na fikra hizo ila ile ni kazi tu na video ni kuigiza tu. Sio kila tendo tunaloliona kwenye video ni kweli.
Leo kupitia Instagram yake Jokate amesema yote, Yako Hapa


No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages