Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Monday, September 9, 2013

KWA MUJIBU WA WORLD HAPPINESS REPORT 2013: TANZANIANIA NI NCHI YA 151 KATI YA 156 ZENYS FURAHA DUNIANI


Kwa mujibu wa ripoti ya mwaka 2013 ya furaha duniani, World Happiness Report, iliyotolewa leo, Tanzania ni nchi ya 151 kati ya 156 zenye furaha.
Happy
Hiyo ina maana kuwa Tanzania ni miongoni mwa nchi 10 duniani zenye huzuni zaidi. Nchi zingine ni Togo (156), Benin 155, Jamhuri ya Afrika ya Kati, 154, Burundi 153, Rwanda 152, 150 Guinea, Comoros 149.
Happy2
Nchi ya kwanza katika nchi 10 zenye furaha zaidi kwa mujibu wa ripoti hiyo ni Denmark ikifuatiwa na Norway, Switzerland, Netherlands, Sweden, Canada, Finland, Austria, Iceland, na Australia.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages