Mrembo na mwanamitindo wa Tanzania Flaviana Matata aishiye nchini Marekani ameonekana katika moja ya mabango makubwa ya mbunifu wa mitindo wa Marekani Kenneth Cole (59) ikiwa ni sehemu ya dili mpya ya mrembo huyo kuonekana kwenye mabango ya matangazo nchini Marekani.
Hili ndio bango lenye picha ya mrembo Flaviana Matata lililoko New York, Marekani.
Picha: Instagram: MariaSTsehai
No comments:
Post a Comment