'Picha inayoonesha magaidi wakizunguka ndani ya Westgate mall kabla ya kuanza mashambulizi '
Hii ni picha ya CCTV inayoaminika kuwa wanaoonekana ni magaidi wa Al-Shabaab baada ya kuingia katika mall ya Westgate huko Nairobi kabla ya kuanza mashambulizi.

Japokuwa picha haionekani vizuri lakini wanaonekana watu wawili wakiwa wamefunga vitambaa vyeusi vichwani, na mikononi wakiwa na silaha nzito huku wakitembea ndani ya mall.
Picha: Mail Online

Comments
Post a Comment